Uzi maalumu kwa wale waliowahi kuwa makuadi

Tangu lini bibi akatumia kibamia?
Kama bibi hatumii kibamia basi asubiri corona iishe tukaagize madawa ya kuongeza unene na urefu toka china kwa gharama ya bibi. Lakini kumtunzia bikra kuna gharama zake bibi ujue
 
Umeona unitongozee hadharani namna hii mbele ya watoto kabisa waone navyojiuma na kuchimba vishimo
Hapana mpenzi
Wala sio lengo langu kukufanya watoto waone bibi yao anavyojengwa kisaikolojia. Ila ni kutokana na lile geti kali kule mahala imebidi tu nimwage sera zangu hadharani
 
Geti nimelifungua usiniadhiri hadharani we mwana weee
 
Pole sana, utakosa bahati ya mtende shauri yako. Usisahau wolper ashatangaza tenda na hata Nicole baada ya kukosakoswa na harma anatafuta viBen10 kama mimi ambaye ni bikra

Na dedication umeniwekea? Kweli wewe ni kibenten
 
Kabisa unakosa mengi kwa kuwa na kigugumizi cha kunibook. Hata huyu nimemkataa a kwa ajili yako bibi
8307E0D5-F0C1-48FD-838C-7A86AE322677.jpeg
 
Nakumbuka kipindi kile nilikuwa mjanja mjanja sana.. ila ni muoga wa kupindukia kwa madem..

Sasa kuna mshua flani akaomba namba zangu. Akanitaka tuonane. Bda ya vyakula na juice za kitonga Ndio mshua ananiambia kuna kazi nataka nikupatie..

Kuskiliza ni kazi gani. Kumbe kuna mrembo flani hivi mshua amefika bei. Sas kaniona mie ndio nafaa kwa kumuunganisha nae.. kuhusu pesa hakuna tatizo. Basi siku hiyo hiyo nikapewa20000 kwa ajili ya vocha ..

Mi nilichofanya, ni kumuambia yule demu. ' Oyah kuna mzee anakuelewa kisen**** na yuko na pesa ya kubadirishia mboga. Sasa usiniangushe.. '

Yule dada alikuwa hafanyi kitu bila kuniomba ushauri. Nami nikajikuta namla kimasihara..

Tukutane kwenye uzi wetu pendwa kwa kisa hiki cha kumla huyu dada kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kwenye Uzi wa kula kimasihara sijaona simulizi yako mkuu

Ahadi ni deni

Oya nitag bas kweny post yako kule kule kwa masihara
 
Back
Top Bottom