Uzi maalumu kwa wale waliowahi kuwa makuadi

Wanaume wa aina hii mnatutia aibu, huu ni uharo wa kiwango cha lami.
Siko hapa kutaka huruma ya ke lakini pia sio kuwakandamiza na kuwadhalilisha.
Sina njaa ya pm kwani imeshiba na pia huwa sitetemekei mtu wa mtandaoni kama unavyofikiri.
Huyu pia tunafahamiana nje ya jf, fuatilia convo zetu jukwaani.
Acha utoto mkuu.
Kama Noelia alikuudhi si umwambie wazi yapite?
Kila uzi unamwandama...jitahidi akili yako ipevuke
Naona braza umeamua kuchukua upande utetee jinsia KE with the hope or even the wildest dream that maybe.. just maybe she might pm you "i like you" and you may bang that one day.
Amka braza hapa sio USA na hii sio 1789
 
Ihiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom