Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,279
- 50,092
Umeona unitongozee hadharani namna hii mbele ya watoto kabisa waone navyojiuma na kuchimba vishimoDaaaaa mpenzi mimi na ukauzu wapi na wapi ?
Utakuwa umenifananisha
Umeona unitongozee hadharani namna hii mbele ya watoto kabisa waone navyojiuma na kuchimba vishimoDaaaaa mpenzi mimi na ukauzu wapi na wapi ?
Utakuwa umenifananisha
Kama bibi hatumii kibamia basi asubiri corona iishe tukaagize madawa ya kuongeza unene na urefu toka china kwa gharama ya bibi. Lakini kumtunzia bikra kuna gharama zake bibi ujueTangu lini bibi akatumia kibamia?
Hapana mpenziUmeona unitongozee hadharani namna hii mbele ya watoto kabisa waone navyojiuma na kuchimba vishimo
Sidangiki mjukuu hahahahaKama bibi hatumii kibamia basi asubiri corona iishe tukaagize madawa ya kuongeza unene na urefu toka china kwa gharama ya bibi. Lakini kumtunzia bikra kuna gharama zake bibi ujue
Geti nimelifungua usiniadhiri hadharani we mwana weeeHapana mpenzi
Wala sio lengo langu kukufanya watoto waone bibi yao anavyojengwa kisaikolojia. Ila ni kutokana na lile geti kali kule mahala imebidi tu nimwage sera zangu hadharani
Sasa ningekuwa najua. Si ningekuwa nimeshakuja huko ndani na timu yangu ya kampeniGeti nimelifungua usiniadhiri hadharani we mwana weee
Njoo nimejipanga vizuri na hoja kama zoteSasa ningekuwa najua. Si ningekuwa nimeshakuja huko ndani na timu yangu ya kampeni
Pole sana, utakosa bahati ya mtende shauri yako. Usisahau wolper ashatangaza tenda na hata Nicole baada ya kukosakoswa na harma anatafuta viBen10 kama mimi ambaye ni bikraSidangiki mjukuu hahahaha
Pole sana, utakosa bahati ya mtende shauri yako. Usisahau wolper ashatangaza tenda na hata Nicole baada ya kukosakoswa na harma anatafuta viBen10 kama mimi ambaye ni bikra
Bado kufuli lipo lockedNjoo nimejipanga vizuri na hoja kama zote
Kabisa unakosa mengi kwa kuwa na kigugumizi cha kunibook. Hata huyu nimemkataa a kwa ajili yako bibiNa dedication umeniwekea? Kweli wewe ni kibenten
Afu hebu toa kufuli mke nagonga mlango umefungwaNdo malezi ya watoto wa karantini hayo?
Much respect mkuu watu kama wewe na gh hussa natamani muwe wengi humuNaona braza umeamua kuchukua upande utetee jinsia KE with the hope or even the wildest dream that maybe.. just maybe she might pm you "i like you" and you may bang that one day.
Amka braza hapa sio USA na hii sio 1789
Kule kwenye Uzi wa kula kimasihara sijaona simulizi yako mkuuNakumbuka kipindi kile nilikuwa mjanja mjanja sana.. ila ni muoga wa kupindukia kwa madem..
Sasa kuna mshua flani akaomba namba zangu. Akanitaka tuonane. Bda ya vyakula na juice za kitonga Ndio mshua ananiambia kuna kazi nataka nikupatie..
Kuskiliza ni kazi gani. Kumbe kuna mrembo flani hivi mshua amefika bei. Sas kaniona mie ndio nafaa kwa kumuunganisha nae.. kuhusu pesa hakuna tatizo. Basi siku hiyo hiyo nikapewa20000 kwa ajili ya vocha ..
Mi nilichofanya, ni kumuambia yule demu. ' Oyah kuna mzee anakuelewa kisen**** na yuko na pesa ya kubadirishia mboga. Sasa usiniangushe.. '
Yule dada alikuwa hafanyi kitu bila kuniomba ushauri. Nami nikajikuta namla kimasihara..
Tukutane kwenye uzi wetu pendwa kwa kisa hiki cha kumla huyu dada kimasihara..
Sent using Jamii Forums mobile app
Oya nitag bas kweny post yako kule kule kwa masiharaNakumbuka kipindi kile nilikuwa mjanja mjanja sana.. ila ni muoga wa kupindukia kwa madem..
Sasa kuna mshua flani akaomba namba zangu. Akanitaka tuonane. Bda ya vyakula na juice za kitonga Ndio mshua ananiambia kuna kazi nataka nikupatie..
Kuskiliza ni kazi gani. Kumbe kuna mrembo flani hivi mshua amefika bei. Sas kaniona mie ndio nafaa kwa kumuunganisha nae.. kuhusu pesa hakuna tatizo. Basi siku hiyo hiyo nikapewa20000 kwa ajili ya vocha ..
Mi nilichofanya, ni kumuambia yule demu. ' Oyah kuna mzee anakuelewa kisen**** na yuko na pesa ya kubadirishia mboga. Sasa usiniangushe.. '
Yule dada alikuwa hafanyi kitu bila kuniomba ushauri. Nami nikajikuta namla kimasihara..
Tukutane kwenye uzi wetu pendwa kwa kisa hiki cha kumla huyu dada kimasihara..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Fact hii2013 uko o-level? Uwe unaanza na shikamoo aisee we mtoto