Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sexsomnia ni tatizo mojawapo katika masuala ya Usingizi (Sleep Disorders) ambapo mtu hujihusisha kwa kufanya vitendo mbalimbali vya ngono kama kujichua (Punyeto), Kujamiiana n.k akiwa usingizi na watu ambao hawakumbuki akimka!
 
Mwaka 2016 Apple walianza kuondoa kwenye simu zao tundu la kuchomeka headphones kisha wakaachia rasmi AirPods.

Mpaka sasa zimeweza kuiingizia Apple zaidi ya $40B sawa na Tzs. Trilioni 92.3, huku 5-10% pekee ya mapato hutokana na marekebisho kama watu kuharibu au kuzipoteza hivyo Apple hujipatia $1B sawa na Tzs. Trilioni 2.3.
 
Back
Top Bottom