Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manyoya ya Mbuni yana historia ya kusisimua sana kwa sababu hapo zamani katika dola ya Misri ya kale yalikua yakitumika kama alama ya haki na kwa kipindi cha sasa yamekua yakitumiwa na wataalam wa mavazi kwa ajili ya kuweka nakshi kwenye mitindo mbalimbali ya mavazi.
 
Back
Top Bottom