Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,401 Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume
Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,402 Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.
Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,403 Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,404 Faida nyingine 27 za tikiti maji kiafya Asilimia 92 yake ni maji
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,405 Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,406 Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,408 Hukinga uharibifu wa seli
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,409 Huboresha afya ya meno na fizi
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,410 Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,411 Hubadilisha protini kuwa nishati
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,412 Chanzo cha madini ya potasiamu
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,413 Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,414 Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,416 Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,417 Tunda zuri kwa mwenye Kisukari aina ya pili
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,419 Huzuia na kutibu kansa mbalimbali
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,361 1,096,219 Nov 26, 2021 #1,294,420 Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo