Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EPUKA KULALA NA SIMU KARIBU YAKO

.Wanasayansi wanasema kuwa kionzi ya simu ni hatari sana wa afya ya ubongo ya mwanadamu ingawa wengi wetu tumekuwa na tabia ya kuweka simu karibu na kivchwa kabisa wakati wa kulala, unashauri kuzima simu yako na kuaa nayo pembeni kutoka na usalama wa afya yako.
 
USILALE NA SAA UKIWA UMEVAA MKONONI

.Wanasayansi wanashauri kujitahidi kukumbuka kuuweka mwili wako kuwa na uhuru wakati wa kulaa, kitu chochote chenye kuufanya mwili wako kujihisi umebanwa sio kizuri, saa ya mkononi pia inaweza kuleta madhara sana kama utazoea kulala nayo.
 
Vyakula vya kutunza urembo asili

ASALI

Asali husaidia kutunza unyevunyevu katika ngozi, na pia ina kiwango kikubwa cha sukrai na asidi amabyo uweza kuzuia vijidudu ambavy vianweza kuathiri ngozi yako.Hutengenezwa na nyuki waliokusanya viambata vingi vya asili kutoka katika mimea mbalimbali.
 
Mayai pia ni mazuri kwa afya ya ngozi,kiini chake huwa na vitamini A na B,Ilhali ute wake mweupe una protini nyingi sana ambazo huwa ni nzuri kwa afya ya ngozi.husaidia ngozi kuwa nyororona yenye kungaa zaidi.pia inasaidia ngozi kujikinga na mionzi ya jua.
 
Matunda hususani machungwa na malimao,matunda haya utengeneza collagen kwa ngozi ya mwili wa binadamu ambayo husaidia katika utengenezaji wa ngozi.Vitamins hivi husaidia sana katika kuondoa mikunjo na vivimbe katika ngozi za mwanadamu.
 
Mboga za majaini husaidia sana sio kwa ngozi tu bali kwa mwili wote kwa ujumla kwa sababu vinakuwa vimesheheni virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.Mboga za majani zina virutubisho vyenye kusaidia kuondoa seli zilizokufa na kuzalisha seli mpya katika ngozi.
 
Vyakula vya baharini vingi vina Zinc na Omega 3 ambazo ni muhimu kwa siha ya ngozi.Omega 3 husaidia kukakamaa kwa ngozi na ukavu wa ngozi yako, kupunguza uvimbe na kukunjamana kwa ngozi.Lakini pia inasaidia kufanya mzunguko wa damu uwende vizuri ivyo kuleta ngozi nzuri.
 
Back
Top Bottom