Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ustadhi moud busara zake zipo kwako pale unaposhambulia watu kwa nia ya kujitetea mwambie siku moja moja awe anakutetea na kuelewa lengo lako
Wakati unabishana na mtu cha kwanza soma busara yake, ukigundua hana busara hata ukimpeleka kwa hakimu ataona umempa rushwa.
Nikigundua unabishana na mtu wa aina hiyo sitaweka neno la utetezi.
Utetezi muhimu kwako ni kukupa ushauri ujiondoe kwenye mabishano.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekaaa ustadhi bana
 
poa kijana wa maduka saba

huwa natumia hio FE click hapo kwenye FE utakua umetoa huo unjano kutoka hapo p2p mpaka kwenye FE kisha bonyeza katikati kama unaplay ikishaanza kuplay kuna kimshale cha kudownload click hapo itaanza kudownload

njia ya pili ukishabonyesha kwenye FE scroll utaona neno click here to download utaifata mpaka mwisho utafanikiwa kudownload japo njia hii itahitaji ukae na karatasi na kalamu kuandika namba za episode. so njia nzuri ni hio ya juu
maduka saba

Asante sana, leo usiku nitajarbu tena
 
20210518_170057.jpg
20210518_170123.jpg
😆
 
Back
Top Bottom