ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,071
Haiwezekani mpendwa 😂😂Dawa yake fanya mpango tuonane kabla siku ya aina hiyo haijafika
hahahahahah kuna mbuzi itakuwa inapelekwa malishoni
dahUmenikumbusha kuna siku nilikuwa kwenye daladala nachat Jf nimejisahau ghafla nageuza Shingo naona kuna kaka katoa macho anaangalia kwenye simu yangu nilizima simu fasta nikazuga nimelala nilipofika Stendi sikuangalia nyuma
ulipo niponabadili napanda za kisesa
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ulipo nipo