Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1614531296474.jpg
 
Mwaka 1972 nina miaka 28 dah!
kama ni kweli itanibidi nikupe heshima yako, umemzidi baba yangu kwa takribani miaka 17.
na kama ingelikuwa unatokea kwenye familia ya baba yangu huenda ungelikuwa ni wa kwanza au wa pili kuzaliwa.

dah humu ndani unaweza kumtukana mwanadamu anayelingana au kumzidi mzazi wako
 
Kwakweli tukio hilo nimeliona,
ingawa nilikuwa mdogo lakini lingali linapita akilini mwangu.
Nilimshangaa sana Maalim kwa kosa lile la kiufundi ambalo amefanya wakati ule.
Nadhani mpaka anafariki lazima naye alikuwa anajutia
lilikuwa ni kosa la kiufundi pindi hasira na fitina zinapokwenda zake ila unakuwa ni uamuzi sahihi kwa nyakati zile kwa sababu kila mmoja alikuwa anapigania uhai wake, ushawishi wake kisiasa na tonge yake.

ni sawa sawa na vita ya membe dhidi ya lowassa, ndio imetuletea bwana magufuli.
wangetulizana na kuaminiana huyu mtu asingeli wasokota watu wote.
wastahafu wana washwa washwa

tusisahau uamuzi ule ndio umemuinua zaidi seif na wenzake
 
Back
Top Bottom