capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Nashukuru mkuu. Nawe pia.Ahante sana Chief! Uwe na wakati mzuri mahali uko.
Viongozi wa Afrika miyeyusho sanaWatu wananishangaa kakaa madarakani muda mrefu.
Kila ninavyozidi kukalia kiti hiki napata maarifa zaidi ya kuongoza.
Kwa sasa nina uwezo wa kuongoza zaidi ya nchi moja: Yoweri Kaguta View attachment 1686983