Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nia ya kusema hivyo nilikuwa sikutongozi nilikuwa nafikiria Quote nimefanikiwa kupata hizi
"Love is so funny sometimes,
You love people who never/won't love you,But then you hate people who truly love you.You can't love everyone"

"Watu wema huchelewa kupata wapenzi lakini wale watukutu hupata kwa haraka Sana"

"Its possible to turn friendship into love but its not possible to turn love into friendship"

"Kosa kubwa wanalofanya wanawake ni kwamba huwapenda wale wasio na mapenzi ya kweli na kuwakataa wale wasio na mapenzi ya kweli"

"Sitashangaa Katika dunia iliyo na wanawake wengi nikaoa mwanamke mmoja kwasababu waaminifu na wenye true love wamebaki wachache mno"
Numbisa
 
Ndio huo huo ila ukwaju ni mwingine
Watu wa Mnazi mmoja hasa kata ya Mchafukoge na Tanganyika Pakers Kawe, michongoma yao wanaita Ukwaju

Navyojua Ukwaju halisi ni huu hapa
FB_IMG_1601323232441.jpg
FB_IMG_1601306064282.jpg
 
Back
Top Bottom