Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200813-070820.png
 
Je wajua kuna shule yenye wanafunzi 55,000? (Eneo la msasani Kinindoni Dar es salaam wanaishi watu 48,920). City Montessori School (CMS) iliyopo India ndio shule yenye wanafunzi wengi kuliko shule zote duniani na ina wafanyakazi 4,500. Shule ilianzishwa na Dr Jagdish Gandhi and Dr Bharti Gandhi kwa mtaji wa Rupee 300 walizochukua kwa mkopo. Shule ilianzishwa mwaka 1959 ikiwa na wanafunzi wa 5.
Nimeipenda hiyo.
 
Back
Top Bottom