Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haki ya nani ukinipea nitawezana
d69383fb-b5c1-46e7-9dba-554f88f557e5.jpg
 
Namba 4 haiwezi kuwa jibu kwa sababu mrija unaopeleka maji kutoka # 3 umezibwa hivyo ndoo namba 4 haitapata hata tone moja. Labda ungesema namba 5 japo nayo iko chini ikilinganishwa na namba 7. Na mrija unaopeleka maji namba 6 nao umezibwa. Bado nashikilia jibu sahihi ni namba 7...
Sawa, namba 4 na 6 sikuziangalia vema.
Ila namba 5 ina nafasi nzuri zaidi kuanza kujaa maana kule yanapotokea namba 1 yameunganishwa chini kabisa.
Kwa maana hata kabla tanki namba 1 halijajaa tayari namba 5 imeshajaza tofauti na namba 7 inapata maji kwa juu
FB_IMG_1594234138293.jpg
 
Sawa, namba 4 na 6 sikuziangalia vema.
Ila namba 5 ina nafasi nzuri zaidi kuanza kujaa maana kule yanapotokea namba 1 yameunganishwa chini kabisa.
Kwa maana hata kabla tanki namba 1 halijajaa tayari namba 5 imeshajaza tofauti na namba 7 inapata maji kwa juuView attachment 1502095
Uko sahihi. Jibu ni #5. Sijui kwa nini niliona yale mengine halafu nikashindwa kuona hili. Kweli hii ni kwa majiniazi pekee
 
Zoë we ni jiniazi. Kweli ndoo namba 3 ndiyo itajaa kwanza kwa sababu haivujishi maji po pote. Dah!!!
 
Mkuu nimepata faraja kusikia upande wa pili wa sarafu.
Hii haijalishi nani mkweli.
Ila kiukweli kujitosa kumuoa supastaa aina ya shilole ni gambling.
Lakini kukubali kuishi na mwanamke wa aina hiyo huku asilimia 75 ya huduma za familia anatoa yeye ni hatari zaidi.
Kuhusu kipigo nadhani sheria inakataza, lakini msisahau kwamba sisi ni waafrika.
Waafrika tuna mila na desturi zetu ambazo hazifanani na jamii nyingine, labda tuna mila za ovyo, lakini ndizo tulizofundishwa
Tulifundishwa kupiga wanawake?? Usifanye hivo Bro!
 
Tulifundishwa kupiga wanawake?? Usifanye hivo Bro!
Mimi sipigi mke wangu.
Wala sitopiga.
Ila kuhusu jambo hili muulize mzee wa uzi huu mwenye umri wa miaka 75, ambaye ni mh SYB nadhani anayo majibu
Hayo ndiyo mafunzo halisi ya kiafrika.
Mengine yote tunaiga, ingawa siyo kosa kuiga mambo mazuri, ila bado kuna chembe chembe za kiafrika mioyoni mwetu.
Na bahati mbaya wenzetu wanawake vichwa vyao vina mambo mengi
 
Siwezi kuthibitisha juu ya mafunzo hayo (Sijawahi kuskia) ingawa hata hao wazungu wanapiga wake zao/wapenzi! Si swala la fundisho ila utashi.
Kama wewe usivyo piga mwanamke wengine hupiga, Kupiga ama kutopiga ni tabia/utashi binafsi. Hata hao watu wa kanda maalum wapo wasio piga kabisa wanawake pamoja na kwamba jamii yao imeathirika kwa jambo hii pakubwa!
 
KOSA LA JINAI HALINA MUDA / UCHEBE AENDE JELA TU/ ALBERT MSANDO

Mwanasheria maarufu Nchini Tanzania "Albert Msando" nae ametoa yake kuhusu kipigo alichokipata msanii wa Bongofleva Shilole

''Police Tanzania nimemsikia anayeitwa Uchebe amenukuliwa kwamba hizi picha ni za zamani. Hivyo kimsingi amekubali kwamba alimpiga Shilole ila zamani.

MIMI NIMESIKILIZA NA KUSOMA ALICHOSEMA KAMA MNAHITAJI SHAHIDI.

Kosa la jinai halina muda. Hata kama lilifanyika miaka ya 1980! Kama lilikuwa ni kosa kisheria basi aliyetenda lazima adhabu inamuhusu. Nitashangaa kama ‘upelelezi bado unaendelea’ mpaka ikifika mwezi wa nane. Ni vyema muda akitoka jela akute kiberiti kinauzwa elfu 15 na box spanner inauzwa kama laki 6 hivi. Tuone gereji atakuwa na spanner ngapi na ghetto atawasha jiko la mchina na nini.

Chanzo wasafi tv
 
Back
Top Bottom