Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakulima wote hongereni sana...
Asante sana jirani.
Tikiti maji tayari kwa mavuno
FB_IMG_1594051443150.jpg
 
ujio wake utakwenda kuvunja ukawa......
chadema watapitisha mgombea wao uchaguzi huu (either lissu, mbowe au nyalandu)

upinzani watakuwa na mtihani wa kujitakia
Usijekuta yote hii ni mikakati ya CCM. Yeye akagombee ACT halafu Lissu CHADEMA wagawane kura wapigwe kirahisiiii mchana kweupe. Na usije kushangaa baada ya patashika yote hii huyooo anarudi zake CCM. Wapinzani wangeachana naye huyu waende na Lissu.

Ila jamaa wanapiga hela ndefu sana kwenye haya mambo aisee. Akina miye acha tuendelee kupiga makofi tu....
 
Back
Top Bottom