Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mchochezi__wa__instar_20200701_193637_1.jpg
 
Peru. Majengo ya kale. Haya mawe yana uzito mpaka wa tani 50 na yamejengwa kwa ustadi mkubwa sana utafikiri yamechomelewa pamoja na kuchongwa kwa kitumia kifaa chenye moto mkali. Wanasema hata kama ukitumia mashine za kisasa bado itakuwa vigumu sana kuyachonga, kuyainua na kuyachomelea pamoja. Bado wanasayansi wanakuna vichwa kuelezea jinsi ujengaji huu ulivyowezekana bila mashine wala umeme.
69a28de4-cc5b-4440-bb43-6165f46d3eb3.jpg
 
Njia hii inaweza kukusaidia kujua mtu unae chati nae sana kwenye programu yako ya WhatsApp ikiwa pamoja na kuona namba zake za simu moja kwa moja hata kama ulifuta namba hizo au hata kama namba hizo hazipo kwenye phonebook yako. Njia hii ni rahisi na haitaji ujuzi wowote, basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye makala hii.
 
Back
Top Bottom