The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,965
- 45,350
Nimeshinda Uzuri, ila Beb wewe sio wa kunifanyia mimi hivi......Poa Sweetheart umeshindaje?
ata amna dawa basi tu mazali yananiangukia yenyewe
Nimeshinda Uzuri, ila Beb wewe sio wa kunifanyia mimi hivi......Poa Sweetheart umeshindaje?
ata amna dawa basi tu mazali yananiangukia yenyewe
Eti kavaa viatu vya matairi alafu yupo nyuma kashika daladala watu wasimuone 😀Ana vizia
Ooh My God...!! This is too MuchWatu 3 wakazi wa Kijiji cha Busekera Wilayani Musoma, Mara wamefariki Dunia katika tukio linalohusisha wivu wa kimapenzi ambapo Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Omari anadaiwa kumuua mpenzi wake Paulina Paul kwa kumchoma kisu tumboni mara mbili akidai arejeshewe simu yake ambayo alimpa wakati mahusiano yao yakiwa mazuri.
_
Paulina alikataa kutoa simu na wakaamua kwenda kwa sheikh awasuluhishe, wakiwa kwa sheikh mzozo uliibuka na Omari akachomoa kisu Sheikh akatimua mbio na kuwaacha ndipo Omari akamshambulia Mpenzi wake huyo wa zamani tumboni hadi akafariki.
_
Baadae alijitokeza Mwanamke mwingne kuzuia Omari asifanye mauaji lakini Omari akamkata na panga kisha kumchinja, baada ya kuwaua wawili hao na yeye akajichoma kisu tumboni.
_
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Daniel Shillah amesema Omari alifia Zahanati na kwakuwa wote wamefariki kesi imefikia tamati hapo hapo.
😀😀😀Na mimi naitaka walah
Napitwaje mimi?
Weekend inakuwa Fire na Wewe Tu
#nimekaamazimakwako.
😂😂😂😂ana refresh uzi tu huko
ana refresh uzi tu huko
Wamefanyaje hivi?Kwahiyo mods mmeamua kuwa wasaliti eeh??
Hahah! Hizi siku mbili nacheka sana jamani
Wakishua Fanya mpango wa unywele huo basi
Ipi hiyo Beibe ?
#mbonaunanichanganya
Nimeshinda Uzuri, ila Beb wewe sio wa kunifanyia mimi hivi......
Nimekufanyaje tena babe?Nimeshinda Uzuri, ila Beb wewe sio wa kunifanyia mimi hivi......
Eti kavaa viatu vya matairi alafu yupo nyuma kashika daladala watu wasimuone