carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,558
- 285,549
Poa sanaMy beibe za wewe
Za weekend
Poa sanaMy beibe za wewe
Mambo beibe, naomba dawa uliyooga.
Noma sana
Wabaguzi sanaNawashangaa sana mimi.....Vimewekwa vitu hapa wameviacha
Yupo chini ya tent
Niko mwenyewe beibe wewe Tu
#Fanyakweli
Bradha naona kama unamnyatia kiziwi vile
Na mimi naitaka walahMambo beibe, naomba dawa uliyooga.
Poa sana
Za weekend
We muache Tu ajibanie mwenyewe
#akijachembahukomfungieniVioo
ana refresh uzi tu huko
Au yuko rada anavizia
Na mimi naitaka walah
Napitwaje mimi?
Poa Sweetheart umeshindaje?Mambo beibe, naomba dawa uliyooga.
Hahah! Hizi siku mbili nacheka sana jamani 😀Hii week iko
Hebu fanya mpango basi ubariki usiku wangu
Beibe fanya kunibariki basi na kapicha