Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu yuko kwao
Ana plan in two years or 3 awe kwake

Anajenga na kujiendeleza kielelimu kwa pesa ambazo angelipa kodi na kununua mazaga.

Usidate mwanaume Huyu ukakimbilia kudate jamaa ambae mshahara wa Pili tu keshaenda kupanga gheto ,ili tu aonekane kidume na apate uhuru zaid wa kula wadada wanao shobokea magheto kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa, kijana lazima ajipange sawa sawia, akitoka kwao anaingia kwenye mjengo wake, pesa ya kodi anasave hadi anakua na pa kwake, huyu mleta mada atakua manzi wa maghetoni aliyefilisika mawazo.
 
Inawezekana ila si wote wanawekeza kwaajili yakujenga,hata bei ya kiwanja huijui
 
KaKa zangu walisoma nje, walisoma na kufanya kazi hUko kwa muda mrefu, walivyorudi walikaa nyumbani, wakaanza biashara, wakanunua viwanja, wakajenga nyumba zao na kuboresha biashara zao, walivyooa walihamia kwenye nyumba zao walizojenga wakiwa wanaishi 'nyumbani'. WaliVyokua wanadate wachumba zao, walikua wanaenda for weekend breakS (Ijumaa hadi jumatatu asubui) sehemu mbali mbali nDani na nje ya Dar. Siku za kazi walikua wanakutana mara chache kwa ajili ya chakula cha mchana au jioni. Ila weekend walikua wanazipangilia vizuri ili wapate muda wa kua pamoja. Kwa hio sikuona tatizo lolote la wao kukaa nyumbani
 
Great ila jaribu kuiweka in opposite way,mtu anakaa kwao hana malengo,analewa monday to sunday,amegeuza nyumba ya babake gesti kwa kuleta wanawake tofautitofauti kwao,anarudi usiku wa manane kutoka kwenye starehe anashinda na earphones maskioni akitoka anaenda kijiweni akirudi analala kwenye godoro la babake......
 
Sidhani kama mtu anayeishi na wazazi wake anaweza letA wanawake tofauti tofauti hApo home.. Hii sijawahi ona wala kusikia. Mie naona nyumbani wanakoishi wazazi wako ni Muhimu kuPaheshimu. Kijana unayemzungumzia hapa Ni kijana asijielewa, na hawa wapo hata huko mitaani walipopanga.
 
Back
Top Bottom