Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanini unahisi mtu anayeishi nyumbani kwao anakua hana majukumu? mf; mtu wazazi wake wamekua watu wazima pengine hata wamestaafu, kuna shida gani kijana akaamua kuishi nao kwa ajili ya uangalizi na hata akaoa na kuishi na mkewe hapo hapo au wewe hua unakutana na watu wa aina gani wanaoishi kwao? wale wacheza pool table kuanzia asubuhi mpk usiku?

No offence kama babako alijenga mji wake y wewe usijenge wako?unapata wapi confidence za kuleta mke kwa babako
 
Kweli kabisa mkuu mana mtu anakaa kwao huwezi jua amekutwa na matatizo gani na je mtoa post nikuulize kitu wale wanaodate na wanaume ambao wamepanga je VP mahusiano yao yamedumu kwa mda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Siongelei kudumu kwa mahusiano au la nilichomaanisha ni kuwa mwanaume aliepevuka kuendelea kukaa kwao ni kukosa guts za kuendesha maisha mwenyewe
 
Tena ndo jambo la maana sana, mwanamke usipende sana waliokuisha andaliwa andaa wa kwako date naye akiwa kwao na ikiwezekana we uhusike pakubwa yy kuondoka kwao, Angalizo! Awe ameshatoka kiakili yaani awe mwenye future sio ambaye hana mpago wa kutoka kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allen Neal Jones
"A J Styles'
FB_IMG_1552733002659.jpeg
 
Kama Yesu kristo anaishi nyumbani kwa baba yake mpaka leo, mimi ni nani niende kupanga?

"Typed with my thumbs."
 
Back
Top Bottom