Mkuu ilnibidi nimpe like kwa sababu tu ni utamaduni wa jukwaa hili otherwise ngeuchuna. Afu hawa watu wanatumia nguvu kubwa sana ku-mpromote Messi sijui kwa nin?!Hapo niliweka like halaf ikabidi nitengue
YupooooIceman 3D
Nipo na save Kama David degeaCole Williams
Heshima kwako mkuuYupoooo
Uhitaji timu kufurahia burudani zake na uwezo alionaoHamna asee mimi niko team Cr 7 huyo hanihusu
Habari ya wikiendiNipo na save Kama David degea
Njema kabisa kibumbuHabari ya wikiendi
Hahaha
Sasa wewe leo ile 2-0 tu half time ukakimbia, mume akinyang'anywa nyumba je? Usipokuwa mvumilivu kwa madogo huta kuwa mvumilivu kwa makubwa.
. .
pole mwenyew