moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 127,394
- 696,772
🙏Usiku mwema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini maandalizi ya kesho tena.
🙏Usiku mwema wadau wa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini maandalizi ya kesho tena.
🙏Usiku mwema wadau wa maofisini , weekend inaaga hiyo..
🙏Mungu awaponye wagonjwa 🤲 🙏
AminMungu atupe afya na uzima 🤲 🙏
AminMungu atupe usiku wenye amani na utulivu 🙏 🤲
AaaminAmani na utulivu na upendo vitawale...