myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 150,786
- 667,394
📌📌Popote penye ugumu, Mwenyezi Mungu akafanye wepesi kwa ajili yako. Good morning
Salama sijui kwako..Habari za kuamka wana wema
🤲🙏Mwenyezi Mungu atujaalie weekend njema 🤲
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari mh Nape Nnaye leo Alhamisi may 9 ametembelea chombo cha habari cha Jamiiforums
View attachment 2986203