Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WHO imetoa ripoti kuwa dawa kikohozi ya Benyline imeondolewa sokoni baada kubainika kuwa na aina furani ya sumu inayoharibu figo.
Dawa hii imetumika na watoto wa bara la Afrika kwa muda mrefu, lakini sumu hiyo imebainika miaka michache iliyopita.
Kwa lugha nyingine watu wengi waliotumia dawa hiyo wapo hatarini kupata changamoto za magonjwa ya figo.
"Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika na watu wake"



View attachment 2972292
Aisee
 
Baada kusakata soka kwa mafanikio makubwa, akicheza kama right winger katika timu za Zamalek, Barcelona na timu ya taifa ya Nigeria "Green Eagles", Emanuel Amunike, sasa amekabidhiwa kikosi cha timu ya taifa hilo akinoe.
Kila la kheri mzee, mimi ni mmoja wa wapenzi kile ulichokuwa unakifanya miaka 90.
Na hasa kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994 Amerika.
View attachment 2972288
Sawasawa
 
Back
Top Bottom