Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndoa ndoano
60.jpg
 
Mwenye Nyumba Msumbufu aliigomea Serikali kupisha Ujenzi wa Daraja pamoja na kuaihidiwa wabomoe alipwe 1.5$M sawa na bilion 4 za Tanzania

Kwa kisingizio kwamba Sehemu aliyorithi kwa mababu hawezi ipoteza kisa dollars kutoka Serikali yake ya Mongolia

Akasema kwamba pia ni Ujinga wa Serikali kupitisha miundombunu sehemu ambazo kuna makazi ya watu wakati wanauwezo wa kupitisha daraja kwingine,
#ngasamedia
#ngasatvdodoma
FB_IMG_1711692684764.jpg
 

Mayahudi ndio walio wengi"​

Huduma ya kijeshi ni ya lazima kwa wanaume na wanawake wa Kiyahudi ambao wamefikia umri wa miaka 18. Wanaume hutumikia miezi 32, na wanawake hutumikia miezi 24. Yeyote anayekataa utumishi wa kijeshi atawajibika kisheria na anaweza kufungwa gerezani mara kwa mara, kabla ya kuachiliwa na Bodi ya Wanajeshi wa Akili.
 
Mwishoni mwa muda wa utumishi wa lazima, askari huachiliwa, isipokuwa wale wanaotaka kuchukua kazi ya kudumu katika jeshi, ambapo huteuliwa kwa vikosi vya kawaida. Ama wale walioachiliwa, wanaunda kiini cha jeshi la akiba katika Israeli. Askari wa akiba huitwa kila mwaka kwa kipindi maalum cha kupata mafunzo ya kijeshi ili kudumisha utayari wao.
 
Wale wanaotumikia jeshi ni "Wayahudi wa kidini, na wa jadi," wakati Wayahudi wa Kiorthodoksi (Haredim) hawaruhusiwi kutoka kwa utumishi wa kijeshi ndani ya mfumo wa makubaliano ya kisiasa ya tangu kuanzishwa kwa serikali, ambapo wanajitolea muda wote kwa masomo ya kidini.
 
Kwa miaka mingi, suala la kuwasamehe Haredim limeibua mjadala wa kisiasa unaoendelea katika duru za Israel, na mwezi Februari, Waziri wa Ulinzi wa Israel, Yoav Galant, alitangaza kuwepo kwa pendekezo jipya la rasimu ya sheria ambayo ingemaliza kuachiliwa kwao kutoka kwa jeshi, kwa kuzingatia vita vinavyoendelea huko Gaza.
 
Back
Top Bottom