myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 150,534
- 666,483
Nakubali80% ya Viazi Mviringo ni maji.
Nakubali80% ya Viazi Mviringo ni maji.
Inawezekana ✔️Saikolojia: Kama unapata changamoto kubwa ya kumtoa mtu akilini mwako, kuna uwezekano mkubwa huyo mtu pia anapata tabu kama yako ya kukutoa wewe akilini.
AiseeTafiti: Ni wanawake 02 tu kati ya 05 ndio hufurahia tendo la ndoa
Inawezekana ✔️Kila mara unapokua unajifunza jambo jipya, Ubongo hubadilika shape yake.
Inawezekana piaTafiti: 10% - 15% ya wanawake hawajawahi kabisa kufikia kilele wakati wa tendo la ndoa. Utafiti unaonesha zaidi pia kua nusu ya wanawake huwa hawaridhiki na namna ambavyo hufikia kilele/mshindo.
SawasawaWatu huchangia zaidi hisani (charity) kukiwa na uwepo wa watoto.
Nakubali hiliWatu huchangia zaidi hisani (charity) kukiwa na uwepo wa watoto.
DuhTafiti: 10% - 15% ya wanawake hawajawahi kabisa kufikia kilele wakati wa tendo la ndoa. Utafiti unaonesha zaidi pia kua nusu ya wanawake huwa hawaridhiki na namna ambavyo hufikia kilele/mshindo.
AiseeMwaka 2016 Apple walianza kuondoa kwenye simu zao tundu la kuchomeka headphones kisha wakaachia rasmi AirPods.
Mpaka sasa zimeweza kuiingizia Apple zaidi ya $40B sawa na Tzs. Trilioni 92.3, huku 5-10% pekee ya mapato hutokana na marekebisho kama watu kuharibu au kuzipoteza hivyo Apple hujipatia $1B sawa na Tzs. Trilioni 2.3.
✔️👍Mwaka 2016 Apple walianza kuondoa kwenye simu zao tundu la kuchomeka headphones kisha wakaachia rasmi AirPods.
Mpaka sasa zimeweza kuiingizia Apple zaidi ya $40B sawa na Tzs. Trilioni 92.3, huku 5-10% pekee ya mapato hutokana na marekebisho kama watu kuharibu au kuzipoteza hivyo Apple hujipatia $1B sawa na Tzs. Trilioni 2.3.
SawasawaKumbuka: Uwezo wa akili wa mtu (intelligence) haupimwi kutokana na namna anavyofanya vizuri shuleni.
Biashara kubwa..Mwaka 2016 Apple walianza kuondoa kwenye simu zao tundu la kuchomeka headphones kisha wakaachia rasmi AirPods.
Mpaka sasa zimeweza kuiingizia Apple zaidi ya $40B sawa na Tzs. Trilioni 92.3, huku 5-10% pekee ya mapato hutokana na marekebisho kama watu kuharibu au kuzipoteza hivyo Apple hujipatia $1B sawa na Tzs. Trilioni 2.3.
Hiyo ni HatariiiSexsomnia ni tatizo mojawapo katika masuala ya Usingizi (Sleep Disorders) ambapo mtu hujihusisha kwa kufanya vitendo mbalimbali vya ngono kama kujichua (Punyeto), Kujamiiana n.k akiwa usingizi na watu ambao hawakumbuki akimka!
SawasawaTafiti: Namna unavyozidi kuichukia kazi yako, ndivyo unaongeza pia hali ya kuumiza mwili wako.
SawasawaTafiti: Namna unavyozidi kuichukia kazi yako, ndivyo unaongeza pia hali ya kuumiza mwili wako.
🤣🤣Kuhisi kama umeitwa na mtu wakati hujaitwa ni moja ya kiashiria cha afya nzuri ya akili.
🤣🤣🤣Nillionaire - Ni mtu ambae ana pesa kidogo au hana pesa kabisa.
Aisee 🤣 🤣 🤣 🤣Tendo la ndoa husaidia kuzipa nguvu zaidi seli za ubongo kiutendaji kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2010. Utafiti ulionesha zaidi pia, Watu ambao hushiriki tendo la ndoa mara kwa mara huwa hawasumbuliwi na tatizo la kua na wasiwasi tofauti na wale ambao hawajawahi kushiriki kabisa.
SawasawaTafiti: Kwa afya, Binadamu kwa siku inatakiwa apate mabusu si chini ya matatu, inatajwa husaidia kuongeza muda zaidi wa kuishi.
🤣🤣Ni kosa la jinai nchini Thailand kutoka nyumbani kwako bila kuvaa Chupi.