Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,601 Ni wagumu, kwa maana hawataki kujifunza au kuongeza maarifa juu ya ufanyaji kazi hiyo.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,602 Kama una maarifa na taarifa sahihi juu ya biashara, kazi na hata maisha unaweza usiyaone magumu.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,604 Vitu viko kama vile tulivyo sisi, au tunavyojiona sisi. Hivyo sisi ndiyo sababu ya vitu kuwa kama vile vilivyo.
Vitu viko kama vile tulivyo sisi, au tunavyojiona sisi. Hivyo sisi ndiyo sababu ya vitu kuwa kama vile vilivyo.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,605 Kumbuka, kiti cha ufalme hakimfanyi mfalme awepo, bali mfalme ndiyo anakifanya kiti cha ufalme kiwepo.
Kumbuka, kiti cha ufalme hakimfanyi mfalme awepo, bali mfalme ndiyo anakifanya kiti cha ufalme kiwepo.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,606 Hivyo wewe ndiye derava wa maisha yako. Huhitaji lesseni kuendesha maisha yako
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,607 Bali unahitaji kujiamini kuthubutu na kuamini kwamba unaweza kuwa unachotaka.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,608 Unaweza kufika mahali popote unapotaka kwenda, kwa sababu wewe ndiye dereva wa maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,609 huhitaji upewe lessini ya kuendesha maisha yako, na wazazi wako, ndugu zako, marafiki zako, na hata jamii inayokuzunguka
huhitaji upewe lessini ya kuendesha maisha yako, na wazazi wako, ndugu zako, marafiki zako, na hata jamii inayokuzunguka
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,610 Ukikubali wakupe lesseni wao, maana yake utakuwa unawaendesha wao, na watakuwa ni kikwazo cha wewe kufikia malengo na kuishi kusudi la maisha yako.
Ukikubali wakupe lesseni wao, maana yake utakuwa unawaendesha wao, na watakuwa ni kikwazo cha wewe kufikia malengo na kuishi kusudi la maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,611 Kitendo cha wewe kuzaliwa hapa dunianiani kinaonesha ulifuzu mafunzo ya udereva wa kuendesha maisha yako.
Kitendo cha wewe kuzaliwa hapa dunianiani kinaonesha ulifuzu mafunzo ya udereva wa kuendesha maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,612 Na kitendo cha kuwa hai mpaka sasa, pia inamanisha kuwa safari yako ya maisha bado hujafika
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,613 Hivyo kazana kuyaendesha vizuri maisha yako mpaka ufike mwisho.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,614 Ukisha fahamu tu nafasi yako kama dereva na kiongozi wa maisha yako, hutakuwa na udhuru, wala hutalalamika na kulaumu.
Ukisha fahamu tu nafasi yako kama dereva na kiongozi wa maisha yako, hutakuwa na udhuru, wala hutalalamika na kulaumu.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,615 Hawa ni maadui watatu ambao wanakufanya usishike hatamu ya maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,616 Udhuru; watu wengi wanaoshindwa kushika usukani wa maisha yao kwa sababu ya udhuru.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,618 Kila siku wanaudhuru. Kila siku hawakosi kisingizio. Wajua wanatakiwa kufanya kitu fulani katika maisha yao, lakini wanasita kufanya.
Kila siku wanaudhuru. Kila siku hawakosi kisingizio. Wajua wanatakiwa kufanya kitu fulani katika maisha yao, lakini wanasita kufanya.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,619 Nitafanya siku maisha yangu yakiwa bora zaidi” Ngoja nisali ndipo zaidi nitafanya.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 269,041 1,098,721 Sep 17, 2021 #1,272,620 Hivi vyote ni visingizio na udhuru kukwepa kushika hatamu ya maisha yako.