Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,501 Hivyo kusema hapana kutakuepusha kwa kiasi kikubwa na mambo haya.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,502 Usipuuze nafasi ya teknolojia Tunaishi kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hivyo wewe kama mjasiriamali huwezi kujitenga nao.
Usipuuze nafasi ya teknolojia Tunaishi kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia, hivyo wewe kama mjasiriamali huwezi kujitenga nao.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,503 Kwa kupitia teknolojia kama vile simu na mtandao wa intaneti, unaweza kuwafikia watu wengi zaidi na kuongeza mauzo ya huduma au bidhaa zako.
Kwa kupitia teknolojia kama vile simu na mtandao wa intaneti, unaweza kuwafikia watu wengi zaidi na kuongeza mauzo ya huduma au bidhaa zako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,504 Hakikisha wewe kama mjasiriamali unakuwa karibu na wateja wako ili kutatua shida na mahitaji yao
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,505 pia hakikisha unajifunza mbinu bora za kufanya biashara kupitia mtandao.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,506 Fahamu soko Kanuni mojawapo ya kuongeza mauzo yako kama mjasiriamali ni kulifahamu soko vyema.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,507 Hakikisha huduma au bidhaa unayoitoa inakidhi mahitaji na inafika kwenye soko stahiki.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,508 Kwa mfano ikiwa wewe ni mzalishaji wa mayai, lakini eneo ulilopo soko ni duni, basi tafuta eneo jingine ambalo soko la bidhaa hii ni nzuri.
Kwa mfano ikiwa wewe ni mzalishaji wa mayai, lakini eneo ulilopo soko ni duni, basi tafuta eneo jingine ambalo soko la bidhaa hii ni nzuri.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,509 Ikiwa wewe huwezi kwenda, unaweza kutafuta mtu kwenye eneo lenye soko zuri akakuuzia bidhaa yako na ukampa gawio fulani.
Ikiwa wewe huwezi kwenda, unaweza kutafuta mtu kwenye eneo lenye soko zuri akakuuzia bidhaa yako na ukampa gawio fulani.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,510 Kwa kufanya hivi utaweza kulenga soko na kujiongezea faida zaidi wewe kama mjasiriamali.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,511 Ongeza maarifa Kwanza nikupongeze kwa kusoma makala hii, ni wajasiriamali wachache sana ndiyo hupenda kusoma makala na vitabu mbalimbali ili kuongeza maarifa.
Ongeza maarifa Kwanza nikupongeze kwa kusoma makala hii, ni wajasiriamali wachache sana ndiyo hupenda kusoma makala na vitabu mbalimbali ili kuongeza maarifa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,512 Ni muhimu sana kila mara ukajizoesha kujiongezea maarifa, hasa ya ujasiriamali pamoja na kile unachokifanya
Ni muhimu sana kila mara ukajizoesha kujiongezea maarifa, hasa ya ujasiriamali pamoja na kile unachokifanya
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,513 hili liitakuwezesha kuwa na tija na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,514 Unaweza kusoma vitabu, majarida na tovuti mbalimbali (kama fahamuhili.com) ili kuongeza maarifa yako.
Unaweza kusoma vitabu, majarida na tovuti mbalimbali (kama fahamuhili.com) ili kuongeza maarifa yako.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,515 Jifunze kutokana na makosa Moja ya kanuni inayozingatiwa na wajasiriamali waliofanikiwa ni kujifunza kutokana na makosa.
Jifunze kutokana na makosa Moja ya kanuni inayozingatiwa na wajasiriamali waliofanikiwa ni kujifunza kutokana na makosa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,516 Makosa ni shule nzuri sana kwa kila mtu hasa wajasiriamali.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,517 Ikiwa uliwekeza ukapata hasara, basi jifunze nini hasa kilikuwa chanzo cha hasara ili mbeleni uweze kukiepuka.
Ikiwa uliwekeza ukapata hasara, basi jifunze nini hasa kilikuwa chanzo cha hasara ili mbeleni uweze kukiepuka.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,518 Usikubali kukwamishwa na makosa, bali yawe ni hamasa kwako ya kuendelea mbele zaidi.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,519 “Uzoefu ni kufanya makosa na kujifunza kutokana na makosa hayo” Bill Ackman
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,282 1,096,070 Sep 14, 2021 #1,271,520 Jifunze kwa waliofanikiwa Watu wengi wameshindwa kufanikiwa kwenye maisha yao kwa sababu wanajifunza kwa walioshindwa.
Jifunze kwa waliofanikiwa Watu wengi wameshindwa kufanikiwa kwenye maisha yao kwa sababu wanajifunza kwa walioshindwa.