moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,867
- 691,466
Usikubali kufanyishwa kazi kama mnyama
huyu anaziba nini hapo si angeaicha tu hio barakoa. maigizo bana
😂😂😂😂😂😂barakoa zinaziba midomo tu daah
oooh zina hasara ona saiv wapo kimyaaa,na bado wanaambiwa serikali haina hela
Wapi Kijana Mpole jamani? Is he OK?
Kwenye huyu Korona tutaona rangi zote wallahi!
huyu anaziba nini hapo si angeaicha tu hio barakoa. maigizo bana
Unapotaka kuonyesha mfano lazima uwe siriazi kidogo...Na wasaidizi wake walipaswa kumrekebishia hiyo barakoa kama mwenyewe alijisahau!barakoa zinaziba midomo tu daah
Profesa lazima uwe mbwembwehuyu anaziba nini hapo si angeaicha tu hio barakoa. maigizo bana
Mawaziri watacheza kila aina ya midundo ya ngomaMambo yaenda yakibadilika...
View attachment 1788676
Somo kuntu hiliUNAE JIITA MREMBO
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!
3. Uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa. Uzuri huvutia wanaume, ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe.
4. Pesa kiukweli ina faida sana na ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha na maisha.
6. Kuwa mzuri bila tabia njema hakuwezi kukakupa mume bora, sana sana utapata Boyfriends na wanaume za watu.
6. Tendo la ndoa linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo. Sex ni zao la mapenzi, mapenzi sio zao la sex.
7. Sex inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi akaondoka zake ila upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima.
8. Kuna mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake. Usidhani kupitia pesa zake ataweza badilika.
9. Uvaaji wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe!
Utapeli gani mkuu?🙄
SalaamSalam kwenu
Poleni mliotoka kazini..
Hongereni wakulima wote..
Mungu awaponye wagonjwa wote
Mungu atupe afya na uzima