Licha ya kupelekwa Inter Milan baada ya kukosa namba Man United, Sanchez anapambana na majeraha ya mguu ingawa aliingia akitokea benchi katika mchezo waliotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Cagliari mwishoni mwa wiki.
Sanchez alitua Man United Januari 2018 akibadilisha na Henrikh Mkhitaryan aliyekwenda Arsenal. Hata hivyo, mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile alishindwa kutamba na kufunga mabao matano katika mechi 45 alizocheza.
Kauli yake siku zote alinisisitiza nicheze kwa nguvu, alinikabidhi timu na mimi sitamuangusha nitamuenzi kwa kufanya kazi kwa juhudi ili kuipa timu mafanikio,”alisema LeBron.
Nilipata mshituko mkubwa baada ya kupata taarifa ya kifo cha kaka yangu. Nakupenda, nitaendeleza mazuri yako. Pole kwa Vanessa (mkewe Kobe) nakuahidi nitaendeleza urithi wake,”alisema LeBron
Alisema haikuwa kazi nyepesi kwake kuandika ujumbe katika mtandao kueleza alivyoguswa na kifo cha Kobe kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo kwa familia ya nguli huyo.
Wengine ni kocha wa mpira wa baseball Christina Mauser ambaye ni kocha msaidizi wa timu ya shule ya mpira wa kikapu, Payton Chester mchezaji mwenza na Gianna na mama yake Payton aliyeitwa Sarah na aliyekuwa rubani Ara Zobayan wa helikopta hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.