ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,070
Huku kwema bro, tunamshukuru hatujambo.
Huyu anahitaji maombi na ushauri nasaha kama kweli amedhamiria. Mungu Ampe roho ya uoni na usikivu amwondolee hiyo roho ya kisasi.Mkisikia; Mkazi mmoja mkoani Mwanza amjeruhi vibaya mpenzi wake kwa kisu kisa wivu wa mapenzi mjue ni mimi!
Hii dunia ndivyo inataka tuishi hivyo, sasa basi na sisi tutaishi hivyohivyo inavyotutaka tuishi, Halafu kuna kitu mimi nimegundua laiti kama mapenzi yasingekuwepo duniani nahisi tungeishi kwa furaha sana natungeifurahia dunia Vitu vinavyoiangamiza dunia na kupelekea mauaji ni MAPENZI na PESA...www.jamiiforums.com
Dogo kaa kimya
Sis bana