Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Ulienda kuoga?Mbona mimi nimeachwa hapo?
NdioOg??
Haya mtani
Kabisa yani siamini jamani 😀Umepitwa??
Lile jicho lile
#mtaniKeshoTena
Nipo hapa hapa yani daah!Ulienda kuoga?
Nani alikwambia ukaoge?Kabisa yani siamini jamani
Aisee sikubali, irudiwe hiyoLile jicho lile
#mtaniKeshoTena 😀 😀
Hii inaitwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto 😀😀😀Kabisa yani siamini jamani 😀
Nipo hapa hapa yani daah!
Huyu Bradha nae ananiongelesha ongelesha tuNani alikwambia ukaoge?
😀😀😀
#keshonayonisiku
Aisee sikubali, irudiwe hiyo
Usiku mwema wapendwaHii inaitwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto
Mimi mwenyewe sijui mwanzo nilipitwaje
#ilikuwamarudioHuyu Bradha nae ananiongelesha ongelesha tu
Jamani Jamani JamaniUsiku mwema wapendwa
#keshonayonisiku
#barakayawezaendelea
Aaah! Kumbe yale marudio hapo sawa sasa amani imerudi#ilikuwamarudio
Hahah! Unatamba sasaHii inaitwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto 😀😀😀
Mimi mwenyewe sijui mwanzo nilipitwaje 😀😀😀
Aaah! Kumbe yale marudio hapo sawa sasa amani imerudi
Hutaki kubarikiwa?Good night fam