Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bahati mbaya sana maisha ya watu maarufu wanaoishi Tanzania siyafahamu kiundani hata kidogo hivyo basi huenda mupo sahihi kimtazamo.

kwani hao waandishi wa habari huwa hawafungi mkataba wa kufanya kazi kituo X kama walivyo wachezaji wa mpira na timu zao?

SHIMBA YA BUYENZE msaada tafadhali
Tanzania mikataba mirefu hakuna. Just imagine kitenge alikimbia ITV huyo akaruka ruka weee katua Efm na bado akapata dili la supersport bado efm wakamvumilia japo hakua akitekeleza majukumu yake vizuri ,hajatulia vizuri now kahama
 
72ad178d-8f85-478e-8f7e-5824bc562586.jpeg
 
Januari mwaka huu, Neymar aliumia mfupa laini uliopo chini ya mguu upande wa nyuma (metatarsal) na alikaa nje kwa kipindi cha miezi mitatu.

Hiyo ilikuwa ni mara yake ya tano kuumia mfupa huo. Neymar pia aliumia mguu wake wa kulia kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia nchini Russia mwaka 2019.
 
Back
Top Bottom