Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6163dd5c-7ff3-4556-ab98-37700e552d15.jpeg
 
Angeandika mwanaume sentensi au nyuzi kama hii angeshambuliwa ila sababu ni wakike basi wote wanajiongelesha...#swagga za kilooser#
 
Marahaba shemeji. Naona TRM umeirudisha full force. Ila angalau kwa sasa haijatulenga Wasukuma. Endelea hivyo hivyo...

#Wataachanalini?
Tumekaa kikao na Mwenyekiti wewe subiria moto tuu😀😀😀.

Wakati wamasai wakitaka watangazaji wasitoroke, fundi alikua msukuma na alipambana kuwarudisha akashindwa akasema redio haitengenezeki😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom