capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
“Chuki humchoma anayehifadhi” - Fareed Kubanda
Aisee nimeamini ule uzi una wafatiliaji wengi sana kupita wachangiaji mpendwa hata like yako kule uweki ila nawe Umo
Halafu wakati inahitajika ndo itakuwa imekwenda zakeHuku kwetu ni mwendo wa mvua tu.
Nadhani ni mabaliko ya tabia nchi, maana hatujazoea kuona mvua nyingi mwezi kama huu
Hahah kwann broPopote tu ata kwenye ujirani nitashukuru
Hahah! Hizi taarifa angenipa bae wako mwenyewe ningecheka zaidi
Emoj bro..