Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,254
- 1,077,527
Sis bana. Wacha hizo. Watoto wa 1995+ nyinyiSana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini
Loliondo ingine hiyo....
Hahah! Sisi tunajua ni yako tu na tutasherehekea humu week nzimaHahaaa mnanifurahisha
#siobirthdayyangu
Hahahaha jamaniiiiHahah! Sisi tunajua ni yako tu na tutasherehekea humu week nzima
π
ππWapare ni wabishi na wakorofi nachulale. Vijamaa vifupi lakini vikorofi balaa. Hovyo tu yaani
Kidogo azaliwe siku moja na binti mpoleHappy birthday Legends
Franz Beckenbauer View attachment 1204356
πππHahahaha jamaniiii
Team wahenga tupo vizuriKidogo azaliwe siku moja na binti mpole
ππ sawa
Swala la muda tu bro yatakaa sawa soon (Tuseme InShaALah)
Vipi umeacha ukorofi wako lakini?
hebu nikaone kwanza.Kuna kapicha natamani kukatupia ila najishtukia π π
Inakuja πItupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha
Atakatuma mwakilishi me naogopa kukatuma πKa nani?tupia tukaone
Wala ππUnataka kuchomoa betri ama? Kama ni kapicha ka msambwanda please katupie tuoshe macho