Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,173
- 1,077,253
Sis bana. Wacha hizo. Watoto wa 1995+ nyinyi .Sana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini
Enzi zetu unarudi likizo wanakijiji wanakuja kukuangalia. Mademu wote kijijini unajichagulia tu yaani hakuna hata kutongoza...