Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 177,698
- 1,074,231
Mtunza kumbukumbu hapa ni mimi. Depal rusha hiyo picha kwangu halafu nitaiediti na kuiweka hapa...Itupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtunza kumbukumbu hapa ni mimi. Depal rusha hiyo picha kwangu halafu nitaiediti na kuiweka hapa...Itupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha
Sis bana. Wacha hizo. Watoto wa 1995+ nyinyi .Sana tumetoka mbali sana sisi wahenga.....maandaeitini hapa hata hawaelewi tunaongelea nini
Loliondo ingine hiyo....
Hahah! Sisi tunajua ni yako tu na tutasherehekea humu week nzimaHahaaa mnanifurahisha
#siobirthdayyangu
Hahahaha jamaniiiiHahah! Sisi tunajua ni yako tu na tutasherehekea humu week nzima
😁
😁😁Wapare ni wabishi na wakorofi nachulale. Vijamaa vifupi lakini vikorofi balaa. Hovyo tu yaani
Kidogo azaliwe siku moja na binti mpoleHappy birthday Legends
Franz Beckenbauer View attachment 1204356
🎂🎂🎂Hahahaha jamaniiii
Team wahenga tupo vizuriKidogo azaliwe siku moja na binti mpole
Swala la muda tu bro yatakaa sawa soon (Tuseme InShaALah)
Vipi umeacha ukorofi wako lakini?
hebu nikaone kwanza.Kuna kapicha natamani kukatupia ila najishtukia 😅😅
Inakuja 😅Itupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha