Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,184
- 1,095,288
Kocha huyo alisema anaendelea kufuatilia maendeleo ya mchezaji huyo kama atakuwa fiti kucheza mechi zijazo.
Ubaya wako husemagi ukweli. Hapo ndo penye tatizo sasa...Nina 5 mpendwa na Mwengine nategemea kufyatua mwenzi wa 10.
Ubaya wako huwa huniamini mpendwa.Ubaya wako husemagi ukweli. Hapo ndo penye tatizo sasa...
Ila kama ni kweli basi Mungu Aendelee kukubariki. Watoto ni mibaraka sana na ndiyo jukumu pekee takatifu mno alilokabidhiwa mwanadamu na Muumba wake...