πππAlbino tree? π jamani
πππ kwamba umeamini kidogo?nimechekaa! Sawa Dave apo nimeamini kidogo...... nilikuwa nimeandaa ubishi mwingine ila wacha nikuhurumie tu....
#NapendaMasihara
Nilitaka kusema hiyo mibuyu michangakwamba umeamini kidogo?
#Ulitakakusemaimepakwarangi
Aya nihurumie tu sasa πNilitaka kusema hiyo mibuyu michanga
Hofu kwako tuEh kwa kweli..!
Vipi khali yako lakini?
Huku kwema sana. Wewe hangaika na majukumu. Yakikaa sawa bila shaka swaga zitarudi. Hata hivi unapopita usiku wa manane kunatosha. Bora uzima tu