Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,394
- 205,818
Any thing legal .....What is?
Any thing legal .....What is?
*Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao:*
*Tina: Mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu Mwalimu*
*Mwalimu: Safi, haya Juma*
*Juma: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi kazi*
*Mwalimu: Vizuri, haya Zogo*
*Zogo: Mimi mama yangu malaya anajiuza baba simjui*
*Mwalimu: Pumbavu wewe, nenda ofisini kwa mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi wote uliosema hapa*
*Zogo... anaenda ofisini anarudi huku anatabasamu na anakula biskuti.*
*Mwalimu :* *Mwalimu mkuu kakupa adhabu gani?*
*Zogo: Kaniambia nimpe namba ya mama…*
*
We mgumu kuna vingi hapo havikuhusuAll of the above!
Nyimbo tuu Bro
Jamani unacheka albino?