Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,419
- 1,079,007
Fujo za huyu jamaa hazitawahi kurudufishwa. Enzi zake na pete za visoda. Alikuwa pimbi kweli kweli
Duh! atakua na ka Id kakuchungulia......Aliaga kuwa anahama JF mazima...
Uzuri wa hawa jamaa kuna vibarabara vingi vinavyoweza kukurudisha kwenye hii mifriiwei yao hata kama ukikosea pa kutokea/kuingilia. Labda uwe huko maporini porini ndo hapo sasa. Waweza kwenda maili hata mia hujapata exit....Hapa ukikosea mahesabu unajikuta upo Morogoro badala ya kwenda ManzeseView attachment 1155035
Mauzoefu kama haya ndo yanatakiwa...
Sasa akisema kuwa umpe dola akabadilishe mwenyewe huko anakokwenda utachomoaje?
Wakulima poleni
Inawezekana. Mdau mwingine alikuja kutonya kwamba ni kigogo mkubwa serikalini ndo maana ilbidi atoke humu. Pengine alivyokuwa anapost vilikuwa haviendani na ukigogo wake...Duh! atakua na ka Id kakuchungulia......
Kama ni hivyo basi iPhone hazifai
View attachment 1155045
Kapotea sana
Anaweza kusema "...nipe bebi nitabadilisha nitoe ninazohitahi halafu zilizobaki nitakurudishia bebi..." huku macho yemerembuliwa, sauti imelainishwa na msambwanda unatingishwa kiaina....Kama kaomba alfu 30 za salon atapataje wakati dorali ulizonanzo ni za mia mia?
Hapo ni sound mwanzo mwisho mpaka atulie
Mtoto wa kishua huyu....Yaani mpaka post zake zinanukia marashi ya Masaki...
Salama mkuu