Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,257
- 1,077,601
Nakumbuka hata wewe jinsi ulivyoingia cha kike eti unaprove sijui nini na hard drive yako ile masikini....Umetoka mbali bro katika uzi huu tangu wakati ule mpaka sasa...Kumbu kumbu yake tayari tunayo mpaka pale atakapoamua kuprove
Kile kidole cha hard drive kilikua ovyo ovyo sana bro haikua na jinsi zaidi ya kuprove tu...Nakumbuka hata wewe jinsi ulivyoingia cha kike eti unaprove sijui nini na hard drive yako ile....Umetoka mbali bro katika uzi huu tangu wakati ule mpaka sasa...
Kwani Avatar za Jf wewe unaelewa ni nini?Avatar yako Tu ipo kimaigizo, unaweza ukawa hujui lakini kila kati ya mambo kadhaa ukijaribu unakuta kuna scene moja inajitokeza
Hypothetically
Nikikumbuka wale samaki, enzi hizo Carba haelewi kitu na huku kuna Numbisa hakanyikiAlifikiri akijitetea itasaidia? Kwenye uzi huu kuna kujitetea?
Kwani Avatar za Jf wewe unaelewa ni nini?
Kwamba unataka tuweke kitu gani?
Hakika.Tumshukuru Mungu sana. Mtaa ule kwangu ndo ulikuwa Yunivasite aisee. Nilijifunza mengi kuhusu maisha na mahusiano na watu; hasa hasa suala la mademu pale. Sasa hivi pamebadilika nimepita pale juzi hovyo tu yaani...
Muda wa kufunga ofis za kazi ndy huu kwa wengine!!! Tujipange tena kwaajili ya kesho...kwa ambao bado, wamalizie majukum salama!!
Halafu hiyo picha sijui niliiweka wapi. Kama unayo iweke shemejiNikikumbuka wale samaki, enzi hizo Carba haelewi kitu na huku kuna Numbisa hakanyiki