Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1560354328384.jpeg
 
Vingunguti kwema sana, uhai upo na uzima hatulalamiki, nashukuru kwa maombi ndugu yangu, Mungu awalinde sana, Temeki wailesi naielewa mitaa hiyo story zenu muhimu zina mengi ndani yake
tuzidi kumtegemea kwa kila jambo.
Najua nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi anasa na uzinifu wa vidoleni, wanisamehe tu.
Hiki ndo kijiwe changu pekee hapa duniani mbali na mke na watoto wangu. Wazichukulie kama takataka zingine na kuzi
 
Back
Top Bottom