Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,369
- 205,744
😂😂😂😂 bro hicho kidole sio poaNdio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 bro hicho kidole sio poaNdio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Nakumbuka hata wewe jinsi ulivyoingia cha kike eti unaprove sijui nini na hard drive yako ile masikini....Umetoka mbali bro katika uzi huu tangu wakati ule mpaka sasa...Kumbu kumbu yake tayari tunayo mpaka pale atakapoamua kuprove
Ameambiwa aache tabia ya kung'ong'a kuchabro hicho kidole sio poa
Kile kidole cha hard drive kilikua ovyo ovyo sana bro haikua na jinsi zaidi ya kuprove tu...Nakumbuka hata wewe jinsi ulivyoingia cha kike eti unaprove sijui nini na hard drive yako ile....Umetoka mbali bro katika uzi huu tangu wakati ule mpaka sasa...
Kwani Avatar za Jf wewe unaelewa ni nini?Avatar yako Tu ipo kimaigizo, unaweza ukawa hujui lakini kila kati ya mambo kadhaa ukijaribu unakuta kuna scene moja inajitokeza
Hypothetically
Nikikumbuka wale samaki, enzi hizo Carba haelewi kitu na huku kuna Numbisa hakanyikiAlifikiri akijitetea itasaidia? Kwenye uzi huu kuna kujitetea?
Kwani Avatar za Jf wewe unaelewa ni nini?
Kwamba unataka tuweke kitu gani?
Hakika.Tumshukuru Mungu sana. Mtaa ule kwangu ndo ulikuwa Yunivasite aisee. Nilijifunza mengi kuhusu maisha na mahusiano na watu; hasa hasa suala la mademu pale. Sasa hivi pamebadilika nimepita pale juzi hovyo tu yaani...
. Tomorrow is not guaranteed but kwa neema zake tutaiona...Muda wa kufunga ofis za kazi ndy huu kwa wengine!!! Tujipange tena kwaajili ya kesho...kwa ambao bado, wamalizie majukum salama!!