Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2e3223e5-e1f9-4af9-a1ab-3709cd9d6be8.jpeg
 
Bado miaka bilioni tatu na nusu. Nyota yetu hii (jua) itamaliza nishati yake (Haidrojeni na Helium). Itaanza kupanuka na kuvikaanga visayari vya karibu (ikiwemo dunia) kabla haijakolapsi na kuwa kablack hole. Ila mpaka wakati huo binadamu atakuwa ameshahamia kwenye masayari mengine huko kwenye magalaxy ya mbali...

f3d1e4a1-0223-4bec-bec7-9cc757e121e8.jpeg
 
Back
Top Bottom