Muwe na siku njema wakuu.
Whats up Bros?🙏🙏🙏
Tuishi milele sote bro
Bro niaje?Amin
Bro niaje?
Njema Bro, vipi familia?Shwari bro habari za kuamka
Njema Bro, vipi familia?
Ahsante,Tunamshukuru Mungu bro
Ahsante,
Bro una uzoefu na biashara hii ya madini?
Ahsante,
Bro una uzoefu na biashara hii ya madini?
Hapana,.. nilitaka kujua kama unajihusisha hizi biashara.Vipi unaweza kuyapata?