Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 1,796
- 4,605
NzuriZa asubuhi??
Karibu chaiNzuri
Asante, nileteeKaribu chai
hahahahahahahah, usikute kuna Jackline humu π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Uzi hatariii .. sijaona mtu humu katoa machungu kule maana yake ninyi ndio mnatukanwa!
Mzee/Mshua/Dingi aliwapiga cha mbwa koko wakaondoka mikono mitupu.Pole kwa masahibu yaliyokufika.
Walijuta uliwafanyeje bro?
Heshima yako mfalme.
Uishi milele!!!
ππππππ
Tuishi milele sote bro
Jesus Lizard View attachment 1125135
Amazon