Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 1,796
- 4,605
NzuriZa asubuhi??
NzuriZa asubuhi??
Karibu chaiNzuri
Asante, nileteeKaribu chai
hahahahahahahah, usikute kuna Jackline humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uzi hatariii .. sijaona mtu humu katoa machungu kule maana yake ninyi ndio mnatukanwa!
Mzee/Mshua/Dingi aliwapiga cha mbwa koko wakaondoka mikono mitupu.Pole kwa masahibu yaliyokufika.
Walijuta uliwafanyeje bro?
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tuishi milele sote bro
Jesus Lizard View attachment 1125135
Amazon