Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leon Bailey –Bayer Leverkusen

Bailey kwa upande wake ameweza kuonyesha kiwango kizuri huko kwenye Bundesliga. Huduma yake ya ndani ya uwanja ilizifanya klabu nyingi kufukuzia saini yake hasa ukizingatia umri wake bado mdogo sana.

Kuna wakati Chelsea ilikuwa ikihitaji saini yake Bailey, ambaye ameripotiwa anaweza kupatikana kwa ada ya Pauni 80 milioni.
 
Katika kipindi hiki ambacho Arsenal inaweza kuachana na Ozil, Kocha Emery anaweza kukimbilia kwa Bailey kupata huduma yake kwa sababu ni mchezaji ambaye atampa kitu cha ziada kwenye timu akienda kuunda ile safu ya washambuliaji watatu matata kabisa pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette.
 
Staa huyo wa kimataifa wa Ujerumani amekuwa akihusishwa na timu mbalimbali zinazohitaji saini yake huko PSG wenyewe wakiripotiwa kuwa tayari kumpiga bei ili kuweka sawa uwiano wa matumizi yao na mapato kwenye kikosi wasikumbwe na rungu na Uefa. Arsenal inaweza kuwa kwenye mikono salama kama itaamua kumchukua Draxler kuchukua mikoba ya Ozil.
 
Wilfried Zaha –Crystal Palace

Shida kubwa iliyopo kama Arsenal itakuwa na bajeti ya kutosha kuweza kumudu saini ya Wilfried Zaha.

Lakini hakuna ubishi kama wataamua kumsajili staa huyo wa Crystal Palace kwenda kuziba pengo la Ozil kwenye timu yao basi watakuwa wamefanya bonge moja la usajili, ambapo muda mfupi mashabiki watamsahau Ozil.

Uzoefu wake wa kucheza kwenye Ligi Kuu England utawafanya Arsenal kutokuwa na presha yoyote kama Zaha ataweza kumudu mikikimikiki ya ligi hiyo.

Uzuri wa kuwa na Zaha ni kwamba kocha anakuwa na wigo mpana wa kutumia fomesheni tofauti kwa msimu ujao ikiwamo ile ya 4-2-3-1, akimpanga upande wa kushoto.
 
Pablo Sarabia – Sevilla

Ubora wa Pablo Sarabia huko kwenye kikosi cha Sevilla kwa msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa wa shaka.

Staa huyo alikuwa na msimu bora kabisa akifunga mabao 12 na kuasisti mara 13 wakati akiisaidia timu yake kumaliza nafasi ya sita katika msimamo wa La Liga.

Bila ya shaka, Sevilla haitakubali kumwaachia kirahisi staa huyo aondoke kwenye kikosi chake. Lakini uzuri ni kwamba huduma yake inaweza kupatikana kwa Euro 18 milioni tu kutokana na mkataba wake, pesa ambayo bila ya shaka itakuwa ipo kwenye bajeti ya Arsenal kwenye usajili wa mwaka huu. Real Madrid ilihusishwa pia kuhitaji huduma yake.
 
Nabil Fekir –Olympique Lyon

Liverpool ilishindwa kumsajili kwenye dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana, huku mwaka huu ikidaiwa inataka kurudi tena huko Lyon kufanya usajili wa supastaa wake, Nabil Fekir.

Lakini, mchezaji huyo ataifaa zaidi Arsenal hasa katika kipindi hiki ambacho kinapiga hesabu za kumfungulia milango ya kutokea Ozil.

Fekir ni mmoja ya mastaa wa Ufaransa wenye uwezo mkubwa sana wa kuuchezea mpira ndani ya uwanja na hakika kama Arsenal ikifanikiwa kuinasa saini yake, basi washambuliaji wake Aubameyang na Lacazette watakuwa bize kufunga kutokana na uwezo wa staa huyo katika kipiga pasi za mwisho zitakazowakuna mashabiki wa timu hiyo.
 
62268815_2283404515073306_3033796250973213267_n.jpg
 
Messi ana kula mbili hadi saiv Davet na Cole Williams matumain zaidi kwa Daemusin

CR7 anakula saba
teh teh teh kura yangu ni ya veto kwenye hilo pambano.
kwakuwa nimetokea kwenye maisha ya kimasikini yaliojaa mavumbi ya kongo brazaville naomba kwa kila anayetaka kura yangu anitumie kisafisha viatu.
nimetokea maisha ya mavumbini na mwili wangu umejaa vidonda ya mdudu kepu.
kabudi oyeee

full stop​
 
Kwani huku ni lazima kutumia kiingereza? Mbona thread nyingi zinatumia hiyo lugha? Tutumie our mother tongue maana ndio lugha tuliyoizoea
wewe tumia lugha yoyote humu ndani unayoifahamu hata kama utaandika lugha ya ndege njiwa, kikawaida ikitokezea lugha siifahamu wala comment yako siisomi ila nitakupa likes nzito haijalishi comment yako imejaa dhihaka.

kuna mmarekani mmoja comment yake ameandika kwa kiingilishi maneno yafuatayo:
daemusin is very nice stupidiii fooolishi from mavumbi life in UDSM.
nilimpa like nzito kwa sababu sikufahamu alichokiandika kama ni dhihaka kwangu
 
Back
Top Bottom